MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MIKUTANO YA MH.WAZIRI WA FEDHA AMBAYE ANAHUDHURIA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AFDB) UNAOFANYIKA KIGALI -RWANDA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/matukio-mbalimbali-katika-mikutano-ya.html
Waziri
wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akiwa katika majadiliano na viongozi wa
Benki ya HSBC kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
‘Terminal III’. Majadiliano hayo yalifanyika katika Hotel ya Mills
Colonie Mjini Kigali Rwanda.
Mh.Saada
Mkuya Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC
baada ya majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali
Rwanda.
Waziri
wa Fedha Mh.Saada M.Salum akimsikiliza kwa makini Bi.Erika Rubin
mratibu wa mfuko wa Mkoba Fund wakati wa mkutano wao uliofanyika katika
Hotel ya Serena Mjini Kigali Rwanda. Kulia kwa Mh.Waziri ni Nd.Jovin
Rugemarila Afisa anayeshughulikia masuala ya ADB na mbele yake ni
Kamishina msaidizi wa Fedha za nje –Wizara ya Fedha Nd.Jarome Bureta.
