Flatnews

MALIASILI NA UTALII KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KLM


IMG_8522

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akimsikiliza kwa makini  Meneja Mkuu wa KLM kwa upande   wa Africa Mashariki Bw. Dries Klein   wakati  hafla ya maadhimisho ya kutimiza  miaka 45 ya Shirika  la KLM kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
IMG_8535
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu  akipongezana kwa furaha na  baadhi ya Wadau na   watendaji wa Shirika la Ndege KLM  wakati wa  hafla ya maadhimisho  maadhimisho ya kutimiza  miaka 45 ya Shirika  la KLM kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam.
IMG_8586
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Lazaro Nyalandu  akipokea zawadi ya  mfano wa picha ya  Ndege ya Shirika  la  KLM katika  kilele cha madhimisho ya miaka 45 ya Shirika la KLM  kufanya kazi  nchini  yaliyofanyika jana jijijni Dar es Salaam

Post a Comment

emo-but-icon

item