Flatnews

KIONGOZI WA ZAMANI WA MUNGIKI ASHAMBULIWA, WATANO WAPOTEZA MAISHA


Aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akiwa Hospitali ya Wilaya ya Nyahururu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana.
WATU watano wamepoteza maisha huku aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akijeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana nchini Kenya jana.
Maina alikuwa akisafiri na wenzake kwa shughuli za kifamilia kabla ya kushambuliwa kwa risasi katika barabara ya Ol Kalou, Nyahururu, Kenya.
Waliopoteza maisha ni wanaume watatu na wanawake wawili na wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 na 40

Post a Comment

emo-but-icon

item