HII NDO NYUMBA YA DAVIDO ILIYO GHARIMU ZAIDI YA BILION MOJA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/hii-ndo-nyumba-ya-davido-iliyo-gharimu.html
Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki
kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake ambayoinakadiriwa
kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music
Share this article :