HAPA NI IRINGA MJINI VIJANA WETU WA BOBABOBA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/hapa-ni-iringa-mjini-vijana-wetu-wa.html
Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakiwa katika kituo cha pikipiki karibu na kituo cha mafuta cha Hope Filing Station katika barabara ya Uhuru (Dodoma Rd) karibu na ghorofa la Hans Poppe linaloendelea kujengwa akifanyakazi ya kusfarisha abiria mchana wa leo. Pamoja na mambo hayo mamlaka husuka (SUMATRA) hivi karibuni wataendesha operesheni maalum ya kuwaondoa waendesha pikipiki katikati ya mji na kuwapelekwa pembezoni mwa mji kama vile Ipogoro na Igumbilo. Je, Huu ni ungwana?