CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/chuo-kikuu-cha-iringa-wazindua-tawi-la.html

Chuo kikuu cha Iringa

Mgeni rasmi akiandaliwa shimo kwa ajili ya kupanda mti mchawakama.

Mgeni
rasmi katika uzinduzi wa chama cha Chawakama chuo cha Iringa Kenneth
Komba wa tano kushoto waliosimama akiwa na walimu wa chuo hicho na
wanachama wa CHAWAKAMA.

Na Mwandishiwetu blog
WANAFUNZI wa chuo kikuu cha Iringa zamani Tumaini wamewataka wajumbe wa bunge la katiba kuhakikisha wanapigania lugha ya Kiswahili ili iweze kupewa nafasi kubwa katika katiba mpya.
Rai hiyo imetolewa na mlezi wa wanafunzi wa chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAWAKAMA) Tullah Tweve wakati wa uzinduzi wa tawi hilo chuoni hapo jana
Tweve alisema kuwa hakuna faida kubwa kwa taifa kama kutumia lugha ya Kiswahili kama lugha kuu katika taifa na hata kuitumia katika kufundishia mashuleni na vyuo.
Alisema wakati huu ni wakati mzuri wa Taifa kuweza kurekebisha makosa yaliyokuwepo katika kuchanganya lugha na kukumbatia lugha za mataifa mengine na kuacha lugha yetu .
Hata hivyo alisema kuwa yeye kama mwalimu wa Kiswahili katika chuo hicho moja kati ya mambo ambayo anayapa kipaumbele ni pamoja na kiswahili kupewa kipaumbele.
Kwa upande wao wanafunzi wanachama wa Chawakama walisema kuwa walengwa wakuu wa chama hicho ni wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma Kiswahili na kuwa wanachama ni nchi tano barani Afrika kama Tanzania ,Uganda , Kenya ,Rwanda na Burundi lea kusihiriki makondamano mbali mbali barani Afrika .
Pia walisema kuwa msukumo wa kuanzisha Tawi hilo ulitokana na jitihada za mwalimu Tulla Tweve na Albart Chalamila na kuwa tawi kwa sasa linawachama zaidi ya 60.
Walisema kuwa chama hicho kimeanzishwa mwaka 2002 na kuwa katika chuo cha Iringa tawi hilo lilianzishwa mwaka 2010 na kuwa mbali ya kutokuwepo kwa tawi ila bado wanafunzi wa somo la kiswahili waliende
Aidha walisema changamoto kubwa ni kukosekana kwa fedha za kuendeshea chama pamoja na chama hicho kutotambulika kwa kuwa na uongozi wa unaojulikana na chuo hicho.
Afisa utamaduni mkoa wa Iringa Keneth Komba mbali ya kuwashukuru wanachama wa chama hicho cha Chawakama kwa kuenzi kiswahili bado alisema kuwa jitihada hizo kubwa zilizoanzishwa na chuo hicho.
Hata hivyo alisema kuwa wenye uwezo wa kukuza kiswahili ama kubomoa lugha ya kiswahili ni wasomi wenyewe ambao wamepelekea kuyumbisha lugha .
Komba alisema kuwa mikataba mibovu ya kifisadi katika Taifa inasababishwa na lugha ya kiingereza ambayo wengi wa
"Tunatambua kuwa duniani kuna lugha zaidi ya 16 ikiwemo lugha ya kiingereza ,kifaransa kirusi na kiarabu na lugha mbali mbali huku katika afrika lugha kuu ni kiswahili ambao lugha hiyo imekuwa ikiendelea kukua zaidi barani afrika."