ANGALIA PICHA ZINGINE ZA SHOW YA DIAMOND NA OMMY DIMPOZ LONDON,
http://samchardtz.blogspot.com/2014/05/angalia-picha-zingine-za-show-ya.html
BET
Nominee Diamond akipagawisha mashabiki wake wa Uingereza siku ya
Jumamosi May 17, 2014 katika Club ya Malibu chini ya BONGOUK. Diamond
alienda sambamba na msanii mwingine wa kizazi kipya ambaye yupo juu
kwenye gemu wa muziki wa Bongo Flave, Ommy Dimpoz "Pozi kwa pozi" show
ilikuwa nyomi kisawasawa.

Walimbwende
wa UK wameshindwa kujizuia huku wakiwa wamepagawa na sukari ya warembo,
BET Nominee Diamond na kuwalazimu kukwea jukwaa na kujumuika na Prezdaa
wa wasafi.

Shabiki
wa Ommy Dimpoz, mzee wa tupogo pozi kwa pozi akijiachia nae siku ya
Jumamosi May 17, 2014 kwenye show ya kukata na shoka iliyofanyika ndani
ya kiota cha Malibu chini ya BONGOUK na kuhudhuriwa na mashabiki lukuki
wa muziki wa bongo flava.

Shabiki
akikwea jukwa huku prezdaa wa wasafi, Diamond akipagawisha mashabiki wa
UK siku ya Jumamosi May 17, 2014 jijini London, Uingereza.

Prezdaa wa wasafi akifanya vitu vyake.

Mwanabloger
Jestina George akimwaga faranga kwa msanii anayekimbiza Bongo na ambaye
kwa mara ya kwanza amekuwa nominated kwenye BET award itakayofanyika
June 29, 2014 nchini Marekani.

Diamond na vijana wake wa wasafi wakilishambulia jukwaa.

Mashabiki wakishindwa kuvumilia.

Mashabiki lukuki wakufuatilai show.


Picha kwa hisani ya Ally Muhdin UK na kwa picha zaidi bofya soma zaidi

















































