MAJANGAZZ DAKTARI APIGANA NA MGONJWA WODINI
https://samchardtz.blogspot.com/2014/06/majangazz-daktari-apigana-na-mgonjwa.html
Mwili
wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa
katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu.
Akiwa
mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu alivutiwa waya na chanzo
chetu kisha akatonywa kuwa kuna bonge la timbwili kwenye wodi namba tisa
katika Hospitali ya Rufaa ya
Timbwili! Katika
hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini anadaiwa
kukata roho huku dokta akizichapa kavukavu na wagonjwa, Ijumaa Wikienda
limenasa kisa cha ajabuMorogoro ambapo alitii wito na kufika eneo la tukio ndani ya dakika sifuri (huwa Global hatulazi damu kufika eneo la tukio).Alipofika wodini hapo, mwandishi wetu alishuhudia mtoto akikata roho huku baba mwenye mgonjwa aliyetajwa kwa jina la Jailan Mrisho akizichapa na daktari ambaye jina halikupatikana.
Kwa mujibu wa baba mwenye mgonjwa, alimfikisha mwanaye hospitalini hapo akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria uliokuwa umepanda kichwani na kusababisha kuanguka ovyo