CHEKI WAZUNGU WA YANGA WALIVYOFURAHIA USHINDI WA JANA TAIFA Kitaifa July 23rd, 2015 0 Comments Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na Telecom Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na Telecom Yanga jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 mbele ya Telecom ya Djibouti kwenye mchezo wa kundi A uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, magoli ya Yanga yakifungwa na Malimi Busungu aliyerudi kambani mara mbili pamoja na Godfrey Mwashiuya aliyefunga goli la tatu. Hapa wakifatilia mchezo huo kwa makini wakiwa ndani ya uzi wa kijani na njano ambao huvaliwa na Yanga Hapa wakifatilia mchezo huo kwa makini wakiwa ndani ya uzi wa kijani na njano ambao huvaliwa na Yanga Mashabiki wa Yanga walikuwa katika nyakati mbili tofauti wakati mchezo wa jana unaendelea, kwanza walianza kwa kushangilia kwa nguvu lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda na wachezaji wa Yanga kukosa magoli, mashabiki walianza kupunguza spidi ya ushangiliaji. Lakini baada ya goli la kwanza kufungwa wakalipuka na kushangilia kwa nguvu baada ya hapo walisikika wakizomea hasa Msuva alipokosa penati. Mashabiki wa Yanga kabla timu yao haijapata goli Mashabiki wa Yanga kabla timu yao haijapata goli Goli la pili kutoka kwa Busungu na goli la tatu lililofungwa na Mwashiuya yaliwafanya mashabiki kurejea tena kuanza kupiga ngoma na kuimba kuishangilia timu yao kwa nguvu. Shabiki maarufu wa wanajangwani Ally Yanga akiwa akiwa mwenye huuni kabla ya timu yake haijapata goli Shabiki maarufu wa wanajangwani Ally Yanga akiwa akiwa mwenye huuni kabla ya timu yake haijapata goli Baada ya Mwashiuya kupiga bao la tatu, mashabiki wa Yanga wakaanza kushangilia wakionesha vidole vitatu wakimaanisha magoli matatu yaliyofungwa na timu yao Baada ya Mwashiuya kupiga bao la tatu, mashabiki wa Yanga wakaanza kushangilia wakionesha vidole vitatu wakimaanisha magoli matatu yaliyofungwa na timu yao
Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Y...
http://samchardtz.blogspot.com/2015/07/cheki-wazungu-wa-yanga-walivyofurahia.html

Raia wa kigeni (wazungu) wakifurahia ushindi baada ya Malimi Busungu kufunga goli la pili kwenye mchezo kati ya Yanga na Telecom
Yanga jana ilifanikiwa kuibuka na
ushindi wa goli 3-0 mbele ya Telecom ya Djibouti kwenye mchezo wa kundi
A uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, magoli ya Yanga yakifungwa na
Malimi Busungu aliyerudi kambani mara mbili pamoja na Godfrey Mwashiuya
aliyefunga goli la tatu.

Hapa wakifatilia mchezo huo kwa makini wakiwa ndani ya uzi wa kijani na njano ambao huvaliwa na Yanga
Mashabiki wa Yanga walikuwa
katika nyakati mbili tofauti wakati mchezo wa jana unaendelea, kwanza
walianza kwa kushangilia kwa nguvu lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda
na wachezaji wa Yanga kukosa magoli, mashabiki walianza kupunguza spidi
ya ushangiliaji. Lakini baada ya goli la kwanza kufungwa wakalipuka na
kushangilia kwa nguvu baada ya hapo walisikika wakizomea hasa Msuva
alipokosa penati.
Goli la pili kutoka kwa Busungu
na goli la tatu lililofungwa na Mwashiuya yaliwafanya mashabiki kurejea
tena kuanza kupiga ngoma na kuimba kuishangilia timu yao kwa nguvu.

Shabiki maarufu wa wanajangwani Ally Yanga akiwa akiwa mwenye huuni kabla ya timu yake haijapata goli

Baada
ya Mwashiuya kupiga bao la tatu, mashabiki wa Yanga wakaanza
kushangilia wakionesha vidole vitatu wakimaanisha magoli matatu
yaliyofungwa na timu yao
